Natafuta mwanaume wa kunioa

kama mtu anachini ya 30yrs anataka kuoa mtu mwenye sifa km ulizoorozesha hapo juu ww unazo?
 
mimi nina 27yrs
mchaga
nina diploma..
Mimi siangalii sana muonekano wa nje...awe na 30+ yrs
mkristo
muajiriwa/aliyejiajiri
naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi .

vigezo vyote ninavyo ila kabla sijaja huko PM uniambie hiyo diploma ni ya nini ili nijue nachukua mzigo wa aina gani lakini kama ni diploma ya mifugo na uvuvi kung'uta like nije fasta ukakae shambani kwetu tujenge familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…