Natafuta mwanaume wa kunioa

It
Picha
 
Jifunzeni kuleta mrejesho mkifanikiwa

Nilifanikiwa mkuu,asanteni sanaaa
Leo nimeamua kupitia huu uzi maana sikusoma feedback kipindi kile

Mtu niliempata ni opposite na bandiko langu kabisa ila ndio tunapendana hatari
 
27 jua la Magharibi hilo unakuja na masharti kibao kama unaenda white house. Miaka 27 umeshachomoa mimba ngapi? Usiseme haujazaa kumbe umezaa watoto wamefariki.

Mkuu hakuna kitu kizuri kama kujua unachotaka,niliweka standards kubwa na nikiri hio bar mwamba ameiweka ni wanaume wachache sana wanaweza kuifikia.
Na jua la magharibi ila nilipata mtu mwenye vigezo ninavyo taka
 
Mungu akupe haja ya moyo wako lakini achana na hilo wazo la kufunga ndoa mwaka huu, kuwa makini usiwe na haraka ya namna hiyo haya mambo yanahitaji kwenda nayo taratibu.

Ni kweli kabisa mambo yalikuwa mengi mno kidogo nikate tamaa,ndoa imekuja mwaka huu
 
Ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…