Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Usiposhika mimba hela utarudisha?kuna wakati wa kila kitu
uwe tayari kumpa tsh m 5.ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc. na kula uzazi,
wakati wa bwana umefika.
mjumbe hauwawi mkumbuke
Mbona unatoa offer huku umegeukia kaskazini-magharibi? Mimi nina "muke yangu", bon, ninakaribishwa?kuna wakati wa kila kitu
uwe tayari kumpa tsh m 5.ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc. na kula uzazi,
wakati wa bwana umefika.
hiv negative
christian
mjumbe hauwawi mkumbuke
ndioUsiposhika mimba hela utarudisha?
Kuna mashine za kutolea 5m sio zotewanaume wenyewe hawa wa Jf watoe m5 ?? ha ha ha ha
wapi kasema tendo linalipiwa?Hii bei ya tendo la ndoa ni overpriced.
aghakhan hawapokei bima kwenye kujifungua mkuuMimi nipo tayari kuhusu pesa usiwe ma shaka kwani Nina bima kubwa utajifungulia popote upendapo iwe muhimbili private wodi Au Agakhan
ndo hivowanaume wenyewe hawa wa Jf watoe m5 ?? ha ha ha ha
Mimba itaingiaje?wapi kasema tendo linalipiwa?