Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

itakua nje ya ya JF maana humu kila siku wanahubiri mwanamke asiependa hela ndiye anafaa kuolewa, ukipenda hela basi wewe hufai hata kidogo 🙂🙂🙂
sasa mimba na mtoto ulee mwenyewe ili uwe wife material?
 
Iyo mbona ada ya mtoto chekechea mpaka form six
 
Yale yale ya Hamisa Mobetto kwa Diamond.

Wewe ndo una shida ya kuzaa then upewe pesa? Wewe ndo umeleta bandiko ina maama wewe ndo unahitaji huduma ya kupewa mimba kwa mantiki hiyo unapaswa kumlipa mtoa huduma.

Naona wanawake wamegundua mbinu mpya ya kusaka mitaji ya biashara.
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Hajawa muhitaji bado aendelee kusubiri. Akiwa nauhitaji atarudi kivingine
 
Sio unakimbilia Salio wakat papa tu imetepeta
 
wenzake wanalilia mimba, wanaitafuta kwa pesa, af huyu apewe mimba na pesa juu, watch out
 
Back
Top Bottom