Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
sasa mimba na mtoto ulee mwenyewe ili uwe wife material?itakua nje ya ya JF maana humu kila siku wanahubiri mwanamke asiependa hela ndiye anafaa kuolewa, ukipenda hela basi wewe hufai hata kidogo 🙂🙂🙂