Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Endelea kutafuta kama jina lako linavyojieleza
 
Tayari mimba umepata! Ni wewe tu kama huna tatzo... Ni Pm kwa maelezo zaidi... Pesa hyo ni ya mboga
 
Yan Mnataka kuniaminisha kuwa sikuhizi eti hospital ya mzazi na hela ya uzazi akiwa Home ndo nyingi hivyo?
Mtasubiria sana aseee huyo demu akifika 35 yrs ndo atajua kuwa mil 5 huwa inageuka name kuwa "nahitaji mimba gharama zote juu yangu " ha ha ha haaaa

Mjumbe ushauwawa tayari
 
Hiyo m 5 nitakuapa baada ya mimba kuingia sawa
kuna wakati wa kila kitu
uwe tayari kumpa tsh m 5.ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc. na kula uzazi,
wakati wa bwana umefika.
hiv negative
christian
usiwe na mtoto mwingine
mjumbe hauwawi mkumbuke
 
Mimba atake yeye ela kujifungia alipe anayempa msaada wa kumpiga mimba?
It does not make sense atakuwa anatafuta mtaji sio mimba...
 
Hata Kibamia anakubali au anachotaka ni mimba? Haangalii vigezo vya dushe.
 
wenye hela wanatoa maombi yao ,hadi application form wanalipia
itakua nje ya ya JF maana humu kila siku wanahubiri mwanamke asiependa hela ndiye anafaa kuolewa, ukipenda hela basi wewe hufai hata kidogo πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…