Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Mjumbe wapi wakati ni wewe mwenyewe
 
wewe ndo mwenye shida ya mtoto halafu unatangaza dau kubwa hivy

je wewe unaweza kununua begu bora kwa hiyo dau lako?
 
Mil 5 za Zimbabwe au za magufuli aiseee hiyo ela ndefu sana
 
Njoo kwangu mpenzi nitakuachia mradi wangu mmoja wenye thamani ya sh ml 15 na mimi ni dume la mbegu
 
Haya ndo mambo tunayozungumzaga kuhusu kujiajiri.Ameamua kujiaajiri kwa kuanzisha duka la mimba, kwa kila mtoto.....duuh big up sana !!!!!
 
Wewe ulishapata kile kibenten ulichokuwa unatafuta? Au bado unasubiri vimalize shule?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sidhani kama humu utapata,nakushauri uwahi napema madale kwa Baba Tifah atakupa na Rav 4 Nyeupe kabisa shost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…