Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Mwambie anakusalimia nayo tu. Kuna wadada wazuri unawapa mimba huku ukipata Raha na upendo mkisaidiana kwenye shida na Raha. Cost sharing Kama kawaida. M5??
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Biashara live hii. Kama ya Mobeto na Almasi
 
aghakhan hawapokei bima kwenye kujifungua mkuu
Mama mimi nina bima kubwa waulize tu aga khan watakueleza vizuri bima ndogo ndogo ndio hazipikelewi labda yangu kiwango chake ni 25 million in patients out patients ni zaidi ya 10 million na ref ya nje ya nchi ipo pia zaidi ya 40 millions.. acha kukimbia kimbia lete kazi hiyo bibi mnono
 
Yani baada ya kukosa vitoto vya kukuoa,umeamua uforce watu wakupe mimba na pesa...sahau
 
Pesa sio shida.... je unafanana na thaman unayojipa???



Mwenyewe natafuta mwanamke nimtie ujauzito.....

Ila tayar nina watoto wa3.
 
haaaah... nlitegemea wewe mwenye shida ndo umlipe yaani unataka utiwe mimba na pesa ulipwe
 
Ina bidi kupa fanyia majaribio kama chemba inaridhisha kutungishwa hiyo mi*mb#a kwanza.Maana hayo manunuzi wanaongwa wenye majina
 
Mwenye shida ya mimba ndio anapaswa kumlipa atakayempatia mimba,ana shida asaidiwe then alipwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…