Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima gani? NHIF? Jubilee inapokelewa kama kawaida!!!!aghakhan hawapokei bima kwenye kujifungua mkuu
Biashara live hii. Kama ya Mobeto na AlmasiKuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
Ndo maajabu yenyeweSasa mimba anatafuta yeye halafu alipwe tena, shimo lake lina makinikia?
Mama mimi nina bima kubwa waulize tu aga khan watakueleza vizuri bima ndogo ndogo ndio hazipikelewi labda yangu kiwango chake ni 25 million in patients out patients ni zaidi ya 10 million na ref ya nje ya nchi ipo pia zaidi ya 40 millions.. acha kukimbia kimbia lete kazi hiyo bibi mnonoaghakhan hawapokei bima kwenye kujifungua mkuu
Kutoa sio tatzo ila ujue unatoa kwa ajili ya kitu gn?!wanaume wenyewe hawa wa Jf watoe m5 ?? ha ha ha ha
Ana Chura huyu changamkia .Wewe ulishapata kile kibenten ulichokuwa unatafuta? Au bado unasubiri vimalize shule?[emoji28][emoji28][emoji28]