Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

We unataka mimba au unataka hela? Mbona mimi walishanifuata wanataka niwazalishe tu gharama zote juu yao hadi za lounge na bado nikagoma?, we unataka nikupe hela mimi?!!
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
nitafute mimi...nipe mawasiliano yako...mie naishi Namibia +26771642057 km kweli uko serious! ni kweli n mimi nahitaji mtoto!
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Chukua msimbazi kama itakupendeza!
 
Back
Top Bottom