Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Kuelekea ndoa maana yake nini?
 
Ulipata?
Kama hujapata nipo hapa mume kama mume
 
duh ..umeshatoa mimba ngapi mpaka sasa? bado miaka miwili to 30 yrs uwe expired
 
mimi sina haja ya kukufuata Pm....kama uko serious ni PM mwenyewe
 
Back
Top Bottom