Mburu kidudu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 532
- 541
kwan bashite kwao wapHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
weka sifa zako piaHahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena
Wa JF ndio watamfaa maana wanapenda papuchi na yeye yuko tayari kuitoa provided ME katimiza vigezo anavyovitakahuku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Mmmmh dada hapo kwenye urefu iko shda ebu legeza kdgoHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
umeamua kuja na id nyingine baada hy ya awali kuwa na gundu,k safar njema!kila la kheri miss mwenzangu
guHuu sasa ni Ubaguzi, kwa nini Arusha wakati hata huku vijijini kuna mianaume shababi wapiga Jembe hatari ambapo hutakuwa na wasiwasi wa kufa na njaa.
Tupe dili bibie tukupatie mbegu makini na yenye afya ya akili na mwili
Duuh we noma umenifanya nichekeWeka sifa zako pia maana kuchafua ukoo wengine hatutaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Afu ni PM