Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Vigezo vyote ninavyo, ila hiyo point ya mwisho ya kuwa Arusha inatutoa wengi nje. Kwani hujui siku hizi Dar na Arusha ni kama mwendo wa mtu anayeenda sokoni na kurudi my dear? Hebu ondoa hicho kigezo cha kuwa mkazi wa Arusha.
 
MADEMU KAMA NYINYI NDIO SIWATAKI ATA KUWASKIA, kwa hio unataka kuzaa tu hauna malengo yoyote????
 
Si uende hospital ukapandikizwe, kwa baba asiyejulikana. Vinginevyo mtoto ni damu ya mtu atakusumbua tuu juu ya mwanawe.
 
Sasa ww unatafta wa kuzaa nae tu,umri wa nn ww?
 
Mtoto atakamilika zaidi akipata mapenzi ya baba na mama. Tafuta mtu wa kuishi nae ili ukamilishe familia yenye baba na mama ndio heshima! Sherehe nyingi unasikia Mr na Mrs , wewe utajiweka kundi gani??
 

Ulisha patwa, sifa nyingi ninazo na hitaji pia ninalo ila moja tu sikai wala sipatikani Arusha na hilo kila mtu kula 50 zake duh, nadhani linaongeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…