Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kuzaa mtoto wako halafu usimjue ni unyama huu. labda kama kuna posho nijueHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tafuta mbwa au jogoo. Nafikiri katika wanyama, hao wawili ndio hawana hulka ya kuangalia watoto wao
Wewe si bure utakuwa umeagizwa na mganga upeleke mtoto wa kafara kufanikisha mipango yako.Hivi ni mwanaume gani atakubali kutupa damu yake huku akijua fika ni damu yake?Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena
KAMA UNAISHI ARUSHA NINGEKUSHAURI, UTAFUTE KIJANA WAKISOMALI , WAMEJAA HAPO ARUSHA.Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Salary and other fringe benefits ?Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Hahaha hahaha haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] teh teh teh teh tehIQ ni muhimu unaweza ukanasa kichaa ambaye kwa sasa yuko kwenye dawa usimtambue!