Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Kuzaa mtoto wako halafu usimjue ni unyama huu. labda kama kuna posho nijue
 
Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena
Wewe si bure utakuwa umeagizwa na mganga upeleke mtoto wa kafara kufanikisha mipango yako.Hivi ni mwanaume gani atakubali kutupa damu yake huku akijua fika ni damu yake?
 
Mi nahic wewe unatafutia wanaume wenzangu shida humu hamna machoko, maana huwezi kusema suala kama hilo ukaja kutafuta humu wakati mtaa unaoishi wapo kibao.
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
KAMA UNAISHI ARUSHA NINGEKUSHAURI, UTAFUTE KIJANA WAKISOMALI , WAMEJAA HAPO ARUSHA.

NI KABILA WAREMBO SANA UKIPATA MTOTO ME / KE WOTE WATAKUWA WAZURI SANA KWA MAUMBILE NA NGOZI.

UWEMBABA SIO HOJA IN TODAYS WORLD. INFACT NDIO STYLE YENYEWE.

PIA NAKUSHAURI MKATABA SIO LAZIMA, HAWA HAWAFUATILII SANA NA MARA NYINGI HAWAKUBALI WATOTO NJE YA NDOA. KWA HIVYO HUTAPATA SHIDA ANA BUGHUDHI KWAO.
 
Uko tayari tukaandikishiane Kwa mwanasheria.. maana mambo ya matumizi ya mtoto nani anataka..
 
Hata sisi hatuingii ingii tunavigezo pia,weka vyakwako hapa .Mbegu hazipotei bure
 
Aisee mimi niko nakaa Achugaa mitaa ya sanawari nakidhi vigezo vyote tuwasiliane ila sharti nawe uwe bonge
 
Ni pm tulijenge.
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Salary and other fringe benefits ?
 
Sasa wewe lengo lako ni mtoto mambo ya kuwekeana limit ya umri yanatoka wapi kwani ukizaa na kajmaa kadogo kama mm mtoto atakuwa tofauti ?
 
Back
Top Bottom