Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Weka sifa zako pia maana kuchafua ukoo wengine hatutaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Afu ni PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji125] [emoji125]
 
Aaaaah babu fursa hiyo mbn unaipa kisogoo[emoji39] [emoji115]
Wewe hunitakii mema... kwa uzee huu hizo sio fursa mjukuu ni sumu hizo.

Bibi yako umemwona?
 
Sifa za nini tena kwa mwanaume unayetaka kuzaa nae miss nimechoka?

Umesema kuwa unataka mwanaume wa kuzaa nae tu then akishakupa mimba kila mtu na 50 zake

Sasa sifa za nini tena Mkuu

Au ukinogewa penzi/tendo/mahaba anakuwa mmeo

Sifa zote ninazo na nipo tayari kuzaa/kukupa mimba.
 
hata sheria ya nchi na katiba haiondoi haki ya mwenye mtoto kuwa na uhalali wa mtoto je wewe ni nani
 
Free sperms!No ya have a freedom to beg for naniliu but not to that extent,so watch out.
 
Sifa lazima hata kama nataka wa kuzaa nae tu. Pia itasaidia mtoto atoke kama ninavyopenda
 
 
Weka sifa zako pia maana kuchafua ukoo wengine hatutaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Afu ni PM
Ashasema akipata mimba kila mtu 50 zake hapo sidhan uyo mtoto atakua ukoo wako
 
Reactions: 314
huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Sasa serious ya nini, maana naona kuna free papuchi kisha kila mtu na zake 50, sasa umakini wa nini![emoji15]
 
No any salary your benefit is enjoying my sweet honeypot that's all
My friend the sweet honey pot enjoyment itakuwaje wakati wewe unataka mimba ikishaingia mkataba kwisney ! Kama kuna ruhusa kukuza mtoto akiwa tumboni that could be among the fringe benefits.
Bahati mbaya Niko Dar ningekupa mbegu upate masikio makubwaaaaa
 
Njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…