Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
yeye haitaji mtu serious, anataka mtu wa kumpa mimba tu, hao atapata, watu kila siku wanapoteza mbegu bure tu. Namtakia kila la kheri.
 
Mme wako hajapewa uwezo wa kukupa ujauzito?
Je huyo anayekupa mimba atanufaika vipi au mbegu zake anatoa bure?
Alafu ujue kuzaa na mtu then kumuachia mtoto kirahisi tu! Isn't easy like that
Kweli mkuu hajajua thamani ya kuwa mzazi na kuwa na mtoto mie hata kumuiba nitaiba 2 c mwachi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mnavyo sema mrefu najiuliza mtu mrefu kuanzia fit ngap jaman? Je una Lipa au? Mtu anawez a kawa na fut 4 lakin ni mrefu kwa mtu mwenye fut 3 semen watu tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm

Kama unataka baby boy nitafute
 
kama awe tayari kupima HIV ongeza na hii awe tayari kupima mbegu, hepertytis
 
Uzi sikuuona huu. Je, ushapata? Ka bado nipo jirani tu na kwako Ms hapa karibu na je si naruhusiwa kutoa servisi na kuondoka bila kukamatwa kuwa lazima nilale kwako? PM uone
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Ilibadae impereke ustawi wa jamii.

Aisee, yaani WaTz tumefika hapo,hapana sio sawa.Kwa hiyo,unataka "kuzini" naye tu.Binti sijui una mtizamo gani wa kidini,lakini ulipo sipo.Nakuomba utafakari upya msimamo wako huu.Hiki unachotaka kukifanya hakipo katika mpango wa Mungu,kwa hiyo unajitengenezea mwenyewe mazingira ya kuishi chini ya laana ya Muumba wako,and that is not good for you.Gods plan is for you to have a family of a farther and mother.Hayo ndiyo mazingira mazuri na sahihi ya kumlea mtoto.Narudia tena,badili msimamo wako,msimamo ulio nao ni very ungodly.
 
Je?
Wewe ni bikira?
Nijuavyo Mimi mwanamke huchagua mwanaume, na mwanaume hutafuta. Namaanisha mwanamke ukikutana na wanaume 100 zaidi ya 70 watakutamani, na zaidi ya 50 watakueleza kuwa wanakupenda, zaidi ya 30 hutajishughulisha nao, zaidi ya 15 utasikiliza ombi Lao, zaidi ya 5 utawakubalia ombi Lao, zaidi ya 1 utatoa tunda. So kati ya 100 umeshindwa hata 1.
Vijana wangu.
1. Kibaya hujiuza
2. Cha bure ni ghalama.
Kumbukumbu zangu.
Miaka ya tisini mwishoni kuna dada alitafuta mpenzi kwenye radio, rafiki yangu akafanikiwa kukutana naye, alikuwa beauty wa ukweli kwenda gest jamaa alisahau mpaka viatu.
Mtoa post kama kweli badiri gear hewani kama unatania basi unatupotezea time he kusoma vitu vya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom