Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Another technique to select a suitable husband, otherwise

1. A lawyer should be consulted
2. She must state a reason of her decision
3. She must declair the advantages for the contract winner

otherwise huo si mkataba kama anavyodai ila ni msaada kwa hiyo afute uzi na aandike kuomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa! Fanya kunchek tuone tunapanga vp mambo.[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Anataka mbegu za wala chips mayai za town
Huu sasa ni Ubaguzi, kwa nini Arusha wakati hata huku vijijini kuna mianaume shababi wapiga Jembe hatari ambapo hutakuwa na wasiwasi wa kufa na njaa.
Tupe dili bibie tukupatie mbegu makini na yenye afya ya akili na mwili
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Fursa hii.. ya kuendeleza jina..
 
Dada kama ni kuzaa nae tu na kuendelea na maisha yako, si bora ukafanyiwa IVF? maana hata kumuona jamar hutomuona.
 
Iyo hatari sana .....maana sisi wanaume wenye kimo cha medium hatumo hapo
 
Kila la heri, yaonesha tayari una mume lakini kashindwa kukutia mimba sasa umeshauliwa utafute nje then...
 
Binti chunga Tabia, malezi y mtoto si lelemama hata uwe na pesa vipi au uwezo vipi wa kulea mtoto huwezi kufananisha malezi ya wazazi wote wawili na single parent
 
Nyinyi ndio mnaochangia maaribifu ya malezi , mtoto kulelewa na mzazi mmoja hapana aisee unless kuwe na conc reason inayomlazimu mzazi mmoja kulea watoto lakini sikuhizi naona tu watu mnataka mrahisishe haya mambo ndio mana mnfanya rizk zinakua ngumu
 
Nipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
Mkuu unaogopa child support?

Star wengi wa mbelembele unyamwezini wanafilisika sababu ya hii kitu inaitwa child support.
Hasa star blacks(african american), si unajua watu weusi kwa ngono na sifa?
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mmmmh
 
Back
Top Bottom