Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!

Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.

Awe sura nzuri, mrefu.
Umesha zaa tayari? Kama bado ni PM.
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!

Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.

Awe sura nzuri, mrefu.

Vigezo hivyo vipo nitafute
 
Kama upo dar n pm , mm nipo mbali ila natamani sana mtoto awe karbu na bibi yake am siriaz ni pm,!!"
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!

Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.

Awe sura nzuri, mrefu.

hiyo ni fulsa nzuri ila kigezo cha sura ni tatizo kwangu
 
alienae amtoe wapi?wanaume siku hizi wako very selective,usikute ni michelin tena sura ikawa haivutii nani atamchangamkia?.

Nasikia kule nyeri wanawake wa huko ni wabaya wa sura hadi wanaume wanaamua kutembea na wanyama,so huenda hizo type zipo hadi ....

Umenchekesha sana bro.
 
jamani dada inaonyesha una lako jambo si burreeeee!
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!

Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.

Awe sura nzuri, mrefu.

Binafsi nimefurahishwa na ombi lako kwani vigezo vyooote ulivyotaja me nnavyo but umenivuruga mwishoniiiiii.
yaaaaani me niwe provider wa mbegu tu? Nikimzaaa mtoto nsipomlea itaniuma maisha yangu yoteeeee. Siwezi kutupa damu yangu ikalelewe na mtu mwingine
 
Iyo ni selfishness and heartless, you the package love with the owner, huyo mtoto utamwambia ulimpataje Kwenye JR baada ya post hiyo makuuuubwa mpaka nimeogopa duuuuh unatisha mama
 
alienae amtoe wapi?wanaume siku hizi wako very selective,usikute ni michelin tena sura ikawa haivutii nani atamchangamkia?.

Nasikia kule nyeri wanawake wa huko ni wabaya wa sura hadi wanaume wanaamua kutembea na wanyama,so huenda hizo type zipo hadi ....

Dah aisee hii ni too much.
 
Back
Top Bottom