Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alienae amtoe wapi?wanaume siku hizi wako very selective,usikute ni michelin tena sura ikawa haivutii nani atamchangamkia?.
Nasikia kule nyeri wanawake wa huko ni wabaya wa sura hadi wanaume wanaamua kutembea na wanyama,so huenda hizo type zipo hadi ....
Nyeri ipo wapi mkuu?
Nadhani itakuwa Nyeri mkuu...
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura nzuri, mrefu.
Sawa! ndio wapi huko?
hahaha... sawa mkuu, Nyeri ipo Kenya..
0674333223 callNatafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura nzuri, mrefu.
Naomba uni PMNatafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura nzuri, mrefu.
Ni pm please maana kama nihilo halitanishindaNatafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura nzuri, mrefu.