mwanambwa
Member
- Mar 23, 2017
- 62
- 32
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifanikiwa kuzaa?Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura nzuri, mrefu.
Mrejesho muhimu [emoji16]Hizi nyuzi leo mbona zinafukuliwa hivi?!!!..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muwe mnaleta mirejesho kututia hamasa wengine
Zipo za ki Eskimo hapa, vipi zitafaa?Mwenye connection na mbegu za kihispaniola anistue😂😂😂😂😂 si za maabara lakini
Eskimo ndiyo niniZipo za ki Eskimo hapa, vipi zitafaa?
Tuwasiliane ili ujionee kwa macho🤗Eskimo ndiyo nini
😂😂😂😂Tuwasiliane ili ujionee kwa macho🤗
Ndio hivyo mama maelezo yanaweza yasitoshe kuelewa ninachohitaji uelewe zaidi.🤗🤗😂😂😂😂
Nakuja🏃🏃🏃🏃Ndio hivyo mama maelezo yanaweza yasitoshe kuelewa ninachohitaji uelewe zaidi.🤗🤗
Karibu sana, ila hakuna kukimbia wala kuleta mrejesho mbovu mbovu huku😅😅Nakuja🏃🏃🏃🏃
Teamo Mi amor...de mi vidaMwenye connection na mbegu za kihispaniola anistue😂😂😂😂😂 si za maabara lakini
😂😂😂😂 Mule muleTeamo Mi amor...de mi vida