Sasa kipigo kitatoka wapi hapo?? Yupo na maisha yake anatafuta stara, a man who can spend and enjoy life with her...hahitaji pesa ya madafu huyo...kama vile wanawake wazungu wanavokuja kuchukuwa wanaume wenye rasta, na yeye ni hivo... mabaharia tunaita hiyo ni dodo chini ya mpera.Ni mawazo tu,,,,,,,,,,, your free kumfata huko email na pm. Mi nawashtua tu vidume mkipigwa msiseme hamkuambiwa.
NakuombeaWee mwanaume. Kama:-
1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku kwangu.
Basi nakutafuta.
Mie ni mwanamke
1. Umri ni early 50.
2. Naishi ughaibuni kwangu.
3. Nina mtoto 1 tu.
4. Nina elimu na maisha mazuri.
Tukielewana, ntakualika uje huku, na nitashughulikia makaratasi ili upate Uraia wa huku. Karibu tuishi pamoja, tuzeeshane tuzikane. Tuwasiliane kupitia moyomkiwa@gmail.com. Kila email itajibiwa.
Hupati.Kaolewe na binamu zako.Wee mwanaume. Kama:-