Natafuta mwandishi wa stories/simulizi za maisha za kusisimua/kuvutia wasomaji

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,284
Reaction score
546
Wakuu nawasalimu,

Natafuta mtu mwenye kipaji cha kuandika stories/simulizi za kuvutia na kusisimua wasomaji, stories aina zote hususani mapenzi, espionage, za kijasusi, maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui bitanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kama bado anaandika naona JF imebadilika look n feal sikumbuki ilikua jukwaa lipi.

Kwa yeyote awe kijana wa chuo awe na majukumu yake mengine lakini anacho kipaji basi hii inaweza kua side hustle yako....muhimu ziwe smart zinaandikwa na kusomeka kwa lugha nyepesi kabisa.

Dm for more
 
Kama ni espionage Niko hapa😎.

maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui britanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kam...
Mkuu britanicca, chunga sana. Mambo ni mbofu mbofu hivi 🤌
 
Ungejiweka wazi kila kitu lengo la kumsaka ili aje, wengine ukiandika hivyo wanapita vile
lengo ni kumpatia ajira kaka ataandika mimi nitamlipa.... walete walete kaka.
watu wanavipaji lkn hawavitumii, najua mtu ambae ni nguli wa finance lakini ni mpiga gita wa level za juu sana....anatumia kipaji cha gita kanisani tu lakini kazi zake ni usimamizi wa fedha....kama unakipaji cha kuandika stories nzuri njoo tuyajenge.
 
Wakuu nawasalimu,

Natafuta mtu mwenye kipaji cha kuandika stories/simulizi za kuvutia na kusisimua wasomaji, stories aina zote hususani mapenzi, espionage, za kijasusi, maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui bitanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kama bado anaandika naona JF imebadilika look n feal sikumbuki ilikua jukwaa lipi.

Kwa yeyote awe kijana wa chuo awe na majukumu yake mengine lakini anacho kipaji basi hii inaweza kua side hustle yako....muhimu ziwe smart zinaandikwa na kusomeka kwa lugha nyepesi kabisa.

Dm for more
Wapo wengi sana humu mwingine ni huyo hapo comment number 3
 
mambo ya AI content
 
Back
Top Bottom