Mkuu britanicca, chunga sana. Mambo ni mbofu mbofu hivi 🤌maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui britanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kam...
lengo ni kumpatia ajira kaka ataandika mimi nitamlipa.... walete walete kaka.Ungejiweka wazi kila kitu lengo la kumsaka ili aje, wengine ukiandika hivyo wanapita vile
OkayShesRise_1 kuna side hustle hapa
Wapo wengi sana humu mwingine ni huyo hapo comment number 3Wakuu nawasalimu,
Natafuta mtu mwenye kipaji cha kuandika stories/simulizi za kuvutia na kusisimua wasomaji, stories aina zote hususani mapenzi, espionage, za kijasusi, maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui bitanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kama bado anaandika naona JF imebadilika look n feal sikumbuki ilikua jukwaa lipi.
Kwa yeyote awe kijana wa chuo awe na majukumu yake mengine lakini anacho kipaji basi hii inaweza kua side hustle yako....muhimu ziwe smart zinaandikwa na kusomeka kwa lugha nyepesi kabisa.
Dm for more
🙏ShesRise_1 Fursa hii hapa, Kwa kweli huwaga napenda Sana machapisho yako
mambo ya AI contentWakuu nawasalimu,
Natafuta mtu mwenye kipaji cha kuandika stories/simulizi za kuvutia na kusisimua wasomaji, stories aina zote hususani mapenzi, espionage, za kijasusi, maisha ya mtaani/uswazi....kwa sasa lugha ya kiswahili ndio kipaumbele... kuna mtu mmoja humu JF alikua na stories kali sana jina siko sure nalo sijui bitanica au linafanana na hilo, nilikua nasoma sana stories zake sijui kama bado anaandika naona JF imebadilika look n feal sikumbuki ilikua jukwaa lipi.
Kwa yeyote awe kijana wa chuo awe na majukumu yake mengine lakini anacho kipaji basi hii inaweza kua side hustle yako....muhimu ziwe smart zinaandikwa na kusomeka kwa lugha nyepesi kabisa.
Dm for more
Thanks dear, ila naandika as a hobby sio kulipwa