Ofisi iko wapi?Haya na mimi nataka mwekezaji wà hardware, m5 tuweke tiles thamana ya pesa yake nampa kadi ya gari na kila mwezi nampa faida kama kuna aliye tayari njoo tuyajenge--!-------
Scam umeambiwa utaje ni million ngapi unataja namba ya simu fck you0768 828082
Faida kiasi gani?Haya na mimi nataka mwekezaji wà hardware, m5 tuweke tiles thamana ya pesa yake nampa kadi ya gari na kila mwezi nampa faida kama kuna aliye tayari njoo tuyajenge--!-------
Yaani kwa hii statement pekee inaonyesha utakuja kuzingua huko mbele. Maana una point ya kujidai ambayo ni kwamba muda uliotumia kupata bank zote hizo. Me nakushauri ingia benki ukakope kwa jina lako.Kinachomata mda ambao utatumia kupata bank zote hizo nilizoziorodhesha, location nzuri ya biashara na mtu mwenye experience sio unatapeliwa mtaji mzima
Mkuu bora na wewe umeona, yaani yeye ana frame tu na registration za hizo kampuni anazozifanyia uwakala, alafu anataka investor kwa kigezo cha mashahidi sjui na mwanasheria. Haya ni maajabu, hahazakuambiwa changanya na zako ikitokea yani mtaji utaopata, wazee wa kazi majambazi wamekuja wameondoka nao vipi inakuaje hapo? biashara inakua imeisha au tutaweka mlinzi, tutakata na bima au, lakiini una dhamana gani wewe? au ndio huo mlango tu huna hata nyumba, kiwanja jieleze vizuri ndugu usitafute mwekezaji kihuni, kweli jamani line za mpesa ziwe dhamana hii nchi uhuru umepita mipaka kweli yani line tu ndio dhamana, mi nadhani IFIKE WAKATI KUTAFUTA MWEKEZAJI KWA NAMNA HII IWE KOSA LA JINAI.
Yaani hapa nina hela zimelala tushida yetu wabongo ni uaminifu tu
Mtaani mambo hayapo hivyo. Kuna watu wanakopesha na wanakopesheka sana kutokana na trust tu na background zao. Ila humu mtandaoni sidhani.Wenzako wanapambana kutafuta dhamana, na baadaye kwenda kuitumia hiyo dhamana (mfano nyumba kupata mkopo wa benki) kwa ajili ya kuongezea mtaji.
Hii njia unayotaka kuitumia kupata mtaji siyo rahisi kihivyo kwa sisi watu wenye ngozi nyeusi. Maana kiwango chetu cha uaminifu kiko chini sana.
Sio biashara rahisi kama unavyowaza.Yaani hapa nina hela zimelala tu
Ila kumuamini mtu hapana kwa kweli
Unalizwa na matusi juu
Ila hii biashara naijua inazungusha hela sana na wakikuzoea kwa kutoa mamilioni kwa siku mbona utachekelea
Namtakia kila la kheri for that reason I am out
Kama ulikuwa kibaka utotoni ...Huo muda wa mtu kuwekeza milioni 10 kwenye uwakala anaona ni bora aanzishe biashara mwenyewe aajiri mtu awe boss wake.
Badala yake onyesha kwanini akutafute wewe ukiwa na sababu za msingi. Jambo la kwanza mtu anatazama return ya hela yake, sio aweke milioni 10 uwe unampa laki tatu kwa mwezi hapo risk inayokuwa involved ni kubwa kuliko return inayotegemewa.
Ulipo una usajiri na uzoefu, vipi una kitu chochote cha kuweka rehani kisheria wakati mkataba unaanza in case hela zake ukazipoteza? Hii itakupa jitihada hela uzitumie kiusahihi na kumpa confidence kuwekeza. Otherwise itokee bahati mtu ajilipue.
Kama huna ni bora utafute investor mnayejuana, sidhani kama ukoo wenu wote na wajomba na baba zako wote wauza yeboyebo. Hapo kama ulikuwa kibaka utotoni shauri yako
Nimeifanya sana sitanii na ninaijua vizuri sanaS
Sio biashara rahisi kama unavyowaza.
Na wewe siku ukisema haunihitaji tena (yaani baada ya miezi mitatu) inakuwaje ?Siku unaamua kutoa Mtaji wako, unauchukua kama ulivyo haipungui hata senti moja kwasababu hii sio biashara ya kununua bidhaa.
Uaminifu ni kipengele mno kwa sisi wabongo.Yaani hapa nina hela zimelala tu
Ila kumuamini mtu hapana kwa kweli
Unalizwa na matusi juu
Ila hii biashara naijua inazungusha hela sana na wakikuzoea kwa kutoa mamilioni kwa siku mbona utachekelea
Namtakia kila la kheri for that reason I am out
Ilikuwa siku zile. Kamishine za sasa ni ndogo sana na unagawana na serikali, mtandao/bank, withholding tax, kodi. Halafu malipo kibao ya serikali hayana kamisheni hata cent.Nimeifanya sana sitanii na ninaijua vizuri sana
Nilikuwa nazungusha hela sana na kufanya manunuzi pia ya bidhaa zingine
Nilikuwa na biashara 4 kwenye ofisi moja