Natafuta mwekezaji wa matikitimaji, shamba lipo Kigamboni

mwananthropolojia

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
956
Reaction score
657
Habari wana jf na ishu ya kibiashara nataka kufanya,kuna shamba nimepata kigambon la eka4,nina barua za kijiji za umiliki ila sina title deed na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa hili na sio bank.kama kuna mtu anaweza kunishauri kuna sehemu ninaweza kupata mtaji kwa kilimo changu kidogo nitashukuru.

Nataka kulima matikitimaji kwenye hilo shamba ila nina tatizo la mtaji,zinahitajika milion3 kwa ajili ya kuandaa shamba, kununua mbegu,umwagiliaji,kupulizia dawa,na kulitunza mpaka mavuno.

Lengo langu nahitaji mwekezaji tutakayeshirikiana,kwa yeye kuweka mtaji na mimi nitasimamia kila kitu na kila mavuno atalipwa milion 3 na atapata hela mwaka mzima kwa kuweka mara moja tu.

Tunategemea kuvuna mara 4 kwa mwaka kwa maana nyingine mwekezaji atapata faida ya milion 12 akiweka milion3.

Nawakaribisha wawekezaji lengo ni baada ya mwaka tufanye largescale farming.kwa Mawasiliano zaidi piga 0656178137
 
Benki wanakubali hati za kimila siku hizi, ujuwe upo wakati wa Kikwete si ule wa enzi za Nyerere.

Unajuwa Benki wakikuposha ni lazima wahakikishe pesa yao wanaipata hata kwa kuuza nyumba au hilo shamba kama hujairudisha. Mimi Jee, unanipa dhamana ipi kuwa nikiwekeza pesa yangu ntaipata?

Kuna mtu nnamfahamu ana eka 20 karibu ya Mkuranga, yupo tayari kuweka mtaji, anachotaka ni mtu tu wa kumsimamia, (general management) na yupo tayari kulipa 30% ya faida, ardhi yake, na mtaji wote wake. Wewe usimamie tu, full time job.
 
What guarantees do you have in mind?

I expect the business to be run like a joint venture. My guarantor is an agriculture association called azimio,it has already being registered as an ngo.

Please if you are interested we can run it as partners or as stockholders.
 
Benki wanakubali hati za kimila siku hizi, ujuwe upo wakati wa Kikwete si ule wa enzi za Nyerere.

Unajuwa Benki wakikuposha ni lazima wahakikishe pesa yao wanaipata hata kwa kuuza nyumba au hilo shamba kama hujairudisha. Mimi Jee, unanipa dhamana ipi kuwa nikiwekeza pesa yangu ntaipata?

Kuna mtu nnamfahamu ana eka 20 karibu ya Mkuranga, yupo tayari kuweka mtaji, anachotaka ni mtu tu wa kumsimamia, (general management) na yupo tayari kulipa 30% ya faida, ardhi yake, na mtaji wote wake. Wewe usimamie tu, full time job.

Ok benki gani wanakubali hati za kimila?
Ok unaweza ukanipm namba ya huyo mtu wa mkuranga?maybe we can talk!
 
Je umeshawahi kulima au hii ndio mara ya kwanza na Je una business plan ya kuonyesha how u expect soko lipo wapi na unategemea kukwepa risk (magonjwa, mafuriko, nk) kwa kiasi gani?
Ukijibu haya nitakushauri zaidi
 
You are too ambitious. Mtu awake mil 3 apate mil 12 kama faida? Meaning unamrudishia mil 3 na unampa mil 12 jumla mil 15 ndani ya mwaka mmoja?

Upo tayari kusaini mkataba kwa wakili?
 
Back
Top Bottom