mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 657
Habari wana jf na ishu ya kibiashara nataka kufanya,kuna shamba nimepata kigambon la eka4,nina barua za kijiji za umiliki ila sina title deed na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa hili na sio bank.kama kuna mtu anaweza kunishauri kuna sehemu ninaweza kupata mtaji kwa kilimo changu kidogo nitashukuru.
Nataka kulima matikitimaji kwenye hilo shamba ila nina tatizo la mtaji,zinahitajika milion3 kwa ajili ya kuandaa shamba, kununua mbegu,umwagiliaji,kupulizia dawa,na kulitunza mpaka mavuno.
Lengo langu nahitaji mwekezaji tutakayeshirikiana,kwa yeye kuweka mtaji na mimi nitasimamia kila kitu na kila mavuno atalipwa milion 3 na atapata hela mwaka mzima kwa kuweka mara moja tu.
Tunategemea kuvuna mara 4 kwa mwaka kwa maana nyingine mwekezaji atapata faida ya milion 12 akiweka milion3.
Nawakaribisha wawekezaji lengo ni baada ya mwaka tufanye largescale farming.kwa Mawasiliano zaidi piga 0656178137