Natafuta mwekezaji wa Tanzanite

ngamunga 1

Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
19
Reaction score
5
Natafuta mwekezaji katika madini ya TANZANITE, yaliyopo MERERANI, MANYARA, TANZANIA. Mimi ni mchimbaji mdogo mdogo, sina vifaa vya kisasa (ADVANCE TOOLS) eneo lina ukubwa wa eka, stakabadhi zote halali za umiliki ninazo. Nisaidieni wadau.

napatikana: arafa69@outlook.com
 
wadau nisaidieni, ata kwa mawazo,., nianzie wapi? nifanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…