ngamunga 1
Member
- Oct 13, 2014
- 19
- 5
Natafuta mwekezaji katika madini ya TANZANITE, yaliyopo MERERANI, MANYARA, TANZANIA. Mimi ni mchimbaji mdogo mdogo, sina vifaa vya kisasa (ADVANCE TOOLS) eneo lina ukubwa wa eka, stakabadhi zote halali za umiliki ninazo. Nisaidieni wadau.
napatikana: arafa69@outlook.com
napatikana: arafa69@outlook.com