Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nimtu asie serious sana na ni mtu ninae badilika badilika na huwa siwez kujieleza na ukiona nakueleza kwa kina jua sitaki unielewe na nina tabia ya kujichanganya leo nakwambia hil kesho hili hy imenisaidia sana kuepuka na kutozoeana na watu na kunisoma kweny mishe zangu kiufup natakaga watu makin sio wakurupukaj mana nina dili hatar na zenye pesa ndefu mpaka sasa sijaona wa kumpa id zangu akabeba ndio mana sitakag mazoea ya kipuuz na huu uzi naenda kuugeuza kitukoHauja lewa kweli??, hela ninayo ila huna lugha au mazingira Safi ya biashara
miti yangu shamba langu mnajua nilivyo hasoo kununua kupanda miti kungoja miaka saba leo kisa m5 nikubembeleze kwa lugha lain mi si tapeli vyote vyangu matapel ndio wanalugha lain hapa huna pesa sitaki unihoji chochote, kama vipi kabeti au kanunue bello za mitumba ukauze utapata faida s pumbv shenz mnajua bei ya kuhudumia heka moja ya miti hadi kuvuna, unajua heka 25 nimezika milion ngap ndan ya miaka saba m5 yako c robo ya heka na unatoa m10 unajua nguzo za umeme bei yake kudadadek kaen na m5 yako ila nikitangazwa tajir mpya mdai jamaa mchaw, shoga, muuza madawa nyokoMkuu,
Lugha yako si rafiki na ina kaukakasi kwa mbaali,
Nasema tu.
ili kiwe nini?? Iambie kwanza serikali yako iwawekee mikataba ya nchi hadharani na mi nitaweka hapa m5 hela ya supu tena mi nakula siku mbili ifanye niweke privet zangu hapa mbona bora shamba lenyewe nikalichome moto kuliko kukaribisha maadui in the life muulizen mtu wa manispaa wilaya ya songea 2020 kuniletea watu wake waje wadai kod ya jengo kunipeleka polic kisa nina muda sijalipia jengo wakanipa masaa 70 niwe nimelipa kilichofuata nikaita katapila vunja vunja ukabak uwanja nyumb yangu hamjatoa hata hata mia mnataka kodiTulia kwanza tuongee vizuri
Weka vielelezo vyote hapa ili tuone umuhimu wa changamoto uliyonayo na sio kuita watu "chemba"
Mkuu huwa una matatizo ya dishi kuhama kidogoili kiwe nini?? Iambie kwanza serikali yako iwawekee mikataba ya nchi hadharani na mi nitaweka hapa m5 hela ya supu tena mi nakula siku mbili ifanye niweke privet zangu hapa mbona bora shamba lenyewe nikalichome moto kuliko kukaribisha maadui in the life muulizen mtu wa manispaa wilaya ya songea 2020 kuniletea watu wake waje wadai kod ya jengo kunipeleka polic kisa nina muda sijalipia jengo wakanipa masaa 70 niwe nimelipa kilichofuata nikaita katapila vunja vunja ukabak uwanja nyumb yangu hamjatoa hata hata mia mnataka kodi
Basi kila la kheri na vituko vyakomi nimtu asie serious sana na ni mtu ninae badilika badilika na huwa siwez kujieleza na ukiona nakueleza kwa kina jua sitaki unielewe na nina tabia ya kujichanganya leo nakwambia hil kesho hili hy imenisaidia sana kuepuka na kutozoeana na watu na kunisoma kweny mishe zangu kiufup natakaga watu makin sio wakurupukaj mana nina dili hatar na zenye pesa ndefu mpaka sasa sijaona wa kumpa id zangu akabeba ndio mana sitakag mazoea ya kipuuz na huu uzi naenda kuugeuza kituko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu huwa una matatizo ya dishi kuhama kidogo
Hayo mambo yana rangi nyingi sana,yeye ndo analala na shamba na kuamka nalo,hajasema miti ina umri gani,na itunzwe kwa muda gani kwa gharama gani na umiriki wake ukoje ni wa familia au solo na je ana hati ya umiriki wa ardhi au la familia,Miti haiko ok kwa miaka hii, Wastaafu wengi wamepigwa mpaka wamepata stroke,watu wabad sana.Naona unatafuta vitu viwili tu
1.Umdhulumu mtu au
2.Udhulumiwe wewe
Zinalipa ukipeleka Zambia kuna sokoHela 5 million ninayo but uaminifu sina, simjui tutasumbuana sana
Pili sina udhoefu na biashara ya mbao kabisa. Kipindi cha magu ilidorora sana, kwa sababu soko kubwa ilikuw nguzo za umeme. Wengi wakawa na mbao zikashuka bei
Ila biashara nzuri sana hii, kutokqba na taarifa nilizozisikia.
Zinalipa ukipeleka Zambia kuna soko
Jidanganyeeee😂😂😂😂Zambia misitu yote ile ina maana wana uhaba wa mbao?
Jidanganyeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaambiwa vipi zambia kuna soko kubwa na uhaba wa mbao ilihali wana misitu mingi kiasi kileKivipi, hebu nipe elimu