Natafuta mwenye milioni 5 tushirikiane kuendeleza shamba la miti kisha tutagawana faida baada ya mavuno

Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na kuuza ndani ya wiki 3 la zoez mpaka kukamilika nitampa robo tatu ya pesa atayotoa

Nikiwa na maana eneo hili linatoa si chini ya milion 50 kwahiyo ataeweza toa milion tano mwisho nitampa milion 15 na kwa makubaliano maalumu mana nimejaribu kukopa bank mashart yao ni mengi je nampataje huyo mtu mwenye hiyo pesa kama unawazo pia naliitaji pia kama upo tayari njoo chukua namba yangu kwenye post yangu wa "nataka kuwasaidia kwa yule anaetaka kuwekeza kweye mbao" upo jukwaa la biashara mwisho mwa ule uzi kuna namb yangu usije pm sitokujibu
Nipigie kwa namba 0760099387
 
Shamba kubwa kama hilo benki wakatae!!! Labda huna hati ya shamba, hakuna atakaekubali bila kuona hati halali ya shamba.
 
Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na kuuza ndani ya wiki 3 la zoez mpaka kukamilika nitampa robo tatu ya pesa atayotoa

Nikiwa na maana eneo hili linatoa si chini ya milion 50 kwahiyo ataeweza toa milion tano mwisho nitampa milion 15 na kwa makubaliano maalumu mana nimejaribu kukopa bank mashart yao ni mengi je nampataje huyo mtu mwenye hiyo pesa kama unawazo pia naliitaji pia kama upo tayari njoo chukua namba yangu kwenye post yangu wa "nataka kuwasaidia kwa yule anaetaka kuwekeza kweye mbao" upo jukwaa la biashara mwisho mwa ule uzi kuna namb yangu usije pm sitokujibu
Mmmmh
 
Nipe kwanza ef50 mkuu nikanunue mzigo wa mboga mboga.. kabla hujampata wa mil 15 itakua imerudi yani win win situation
 
Back
Top Bottom