Uza kiwanja hicho, hakuna uwekezaji wa hivyo labda prime area.Habari.
Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara kwa makubaliano ya asilimia kulingana na gharama atakazoweka.
Ukubwa wa eneo 2129 sqm eneo limepimwa lipo jirani na lami kiwanja cha pili kutoka lami njia ya kwenda Mwankoko.
Mwenye nguvu na nia namkaribisha tuje kupigana na umasikini. Ahaante.
Yetusote8@gmail.com
Ahsante kwa ushauri.Uza kiwanja hicho, hakuna uwekezaji wa hivyo labda prime area.
Mzunguko wa pesa hapa mdogo ila naamini wateja watakuwepo ni uwekezaji mdogo sio uwekezaji wa pesa nyingi. Vyumba vya kawaida kabisa na soko kuu ni wazawa tu ila kwa bei nafuu zaidi.Kuna wateja wa kutosha?, eleza kwa kina, malori huwa yanapaki jirani?, Deep in.
Watanzania ubunifu ni zero wapi tulikwamia? Guest house, Frame, kufyatua tofali, Car wash, Saloon, Stationaries, Bar, Hardware, Duka la nguo, nyumba za kupangisha, Hapa ndio radius yetu ilipo hapo utatukuta asilimia 90, hio inayo bakia ndio kidogo wanawaza hata viwanda na mambo mengine,Habari.
Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara kwa makubaliano ya asilimia kulingana na gharama atakazoweka.
Ukubwa wa eneo 2129 sqm eneo limepimwa lipo jirani na lami kiwanja cha pili kutoka lami njia ya kwenda Mwankoko.
Mwenye nguvu na nia namkaribisha tuje kupigana na umasikini. Ahaante.
Yetusote8@gmail.com
Soko ndio linataka hivyo. Sio suala la ubunifu. Watu wanabuni au kukopi vitu vingi ila mwisho wa siku wanaona havilipi.Watanzania ubunifu ni zero wapi tulikwamia? Guest house, Frame, kufyatua tofali, Car wash, Saloon, Stationaries, Bar, Hardware, Duka la nguo, nyumba za kupangisha, Hapa ndio radius yetu ilipo hapo utatukuta asilimia 90, hio inayo bakia ndio kidogo wanawaza hata viwanda na mambo mengine,
Lazima uangalie jamii yako inataka nini. Hayu mambo uliyoyataja + migahawa ndio vyenye uhitaji zaidi kwa jamii tuliyonayo.Watanzania ubunifu ni zero wapi tulikwamia? Guest house, Frame, kufyatua tofali, Car wash, Saloon, Stationaries, Bar, Hardware, Duka la nguo, nyumba za kupangisha, Hapa ndio radius yetu ilipo hapo utatukuta asilimia 90, hio inayo bakia ndio kidogo wanawaza hata viwanda na mambo mengine,