Natafuta mwenyeji Arusha

Natafuta mwenyeji Arusha

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
Heri wenzangu na mimi!
Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji
 
Heri wenzangu na mimi!
Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji
Bahati mbaya nipo moshi nimetoka chuga Jana tu
 
Mimi nipo.. Karibu karibu Mgeni sema PM ndio sijaelewa maana yake
 
Daby hilo nalo ni la kuuliza si juzi tumeonana mm na ww kwahiyo leo unakataa haukai dar [emoji23] husna ndio anakutafuta huko
Husna kaniita! !

Hehe huo udar wangu ngoja tuje tuongelee pm maana hapa najibanabana
 
Unaenda kwenye uchaguzi wa TLS? Kama unaenda kwenye uchaguzi, Je utamchagua Lissu? Kama utamchagua Lissu nitakupa makazi uishi bure kabisa.. It's an empty home but full secured, iko Sakina kwa Idd..

Hahahaaa Bruv niaje?
 
Back
Top Bottom