Natafuta mwenyeji Arusha

Natafuta mwenyeji Arusha

Haha najua vyote...
Kuanzia kisosora magomeni kambi ya fisi mikanjuni pita kote hadi Sahara urudi usagara mpaka majani mapana...nilikuwa naenda kushangaaa baikoko
Nimeishi 17st kwa muda
 
kama ni mwanaume wa Dar uku hatukuhitaji sababu wanaume wa Dar mkiambiwa mtoe vikaratas (vyet) tu mnaanza kulia yan mnaonyesha ni jins gan mlivyo chips mayai

Sioni uhusiano wowote na mada inayozungumziwa
 
Kiseriani nakupata sana, ni eneo linalokuja juu kwa kasi ya ajabu, 5yrs to come utakuwa mji mzuri sana.
Kiseriani hii ya kuchomozea Namanga? Mida ya jioni kale kamji kalipo pale sokoni Jam lake hatari kweli kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wamejigeuza utalii, siku moja nikiwa na wageni kuelekea serengeti kupitia oldonyo lengai, tulipata pancha pale wanaita serengeti ndogo, wakaja wamasai wanataka wapigwe picha, nikawaambia wageni wawulize kabla hawaja pics picha wakasema haina tatizo acha tuwapige picha. Mara baada ya kupigwa picha wakanyoosha mikono wanadai pesa, wageni wakashangaa kwanini walipie picha. Nikawaambia walipeni niliwapa tahadhari hao no mali asili. Wageni walishangaa sana. Ndg zako wamejigeuza wanyama Daby
[emoji23] [emoji23] ndugu zake Nifah hao
 
Back
Top Bottom