Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nimeishi 17st kwa mudaHaha najua vyote...
Kuanzia kisosora magomeni kambi ya fisi mikanjuni pita kote hadi Sahara urudi usagara mpaka majani mapana...nilikuwa naenda kushangaaa baikoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeishi 17st kwa mudaHaha najua vyote...
Kuanzia kisosora magomeni kambi ya fisi mikanjuni pita kote hadi Sahara urudi usagara mpaka majani mapana...nilikuwa naenda kushangaaa baikoko
Mgeni ana taka mwenyeji arusha, wengine wanatongoza dooooh!
kama ni mwanaume wa Dar uku hatukuhitaji sababu wanaume wa Dar mkiambiwa mtoe vikaratas (vyet) tu mnaanza kulia yan mnaonyesha ni jins gan mlivyo chips mayai
Sawa Manka..Nipe nikae na mgeni hayo makazi mchaga mwenzangu[emoji6]
Kiseriani hii ya kuchomozea Namanga? Mida ya jioni kale kamji kalipo pale sokoni Jam lake hatari kweli kweliKiseriani nakupata sana, ni eneo linalokuja juu kwa kasi ya ajabu, 5yrs to come utakuwa mji mzuri sana.
ni me mkaribishe sasa na ufisi wako [emoji23]
Kisu mambo!
Kumbe ni chali araa!
Nice 2 know dat
Mbona umemuuliza kuwa ni Ke?
[emoji23] [emoji23] ndugu zake Nifah hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wamejigeuza utalii, siku moja nikiwa na wageni kuelekea serengeti kupitia oldonyo lengai, tulipata pancha pale wanaita serengeti ndogo, wakaja wamasai wanataka wapigwe picha, nikawaambia wageni wawulize kabla hawaja pics picha wakasema haina tatizo acha tuwapige picha. Mara baada ya kupigwa picha wakanyoosha mikono wanadai pesa, wageni wakashangaa kwanini walipie picha. Nikawaambia walipeni niliwapa tahadhari hao no mali asili. Wageni walishangaa sana. Ndg zako wamejigeuza wanyama Daby