Khaaah... yaani wewe mwanamke hujui kutunza siri.Pm sitaki mm unamuogopa husna [emoji23]
mautamu yapi hayoKhaaah... yaani wewe mwanamke hujui kutunza siri.
Utakosa mautamu wewe
Poa Mali.. Been a while.. Wassup??
Kama kitoto hivii nna shaka mimiKhaaah... yaani wewe mwanamke hujui kutunza siri.
Utakosa mautamu wewe
Huu mwaka umekuwa mgumu sana bruv.. Ila tupo tunapishana tu. Na yule jamaa yetu naona nae kapoa sanaI'm cool bro,
Aisee kitambo hatujasomana.
Uchaguzi umepigwa pini...hufuatilii habari mkuu?Unaenda kwenye uchaguzi wa TLS? Kama unaenda kwenye uchaguzi, Je utamchagua Lissu? Kama utamchagua Lissu nitakupa makazi uishi bure kabisa.. It's an empty home but full secured, iko Sakina kwa Idd..
Huu mwaka umekuwa mgumu sana bruv.. Ila tupo tunapishana tu. Na yule jamaa yetu naona nae kapoa sana
Ooooohh kumbe... Sifatilii sana habari za hii nchi, nchi ina vituko sana hii ukitaka kufatilia kila kitu utapasuka kichwa bure..Uchaguzi umepigwa pini...hufuatilii habari mkuu?
Dah mwenyewe,natamani nisisikie chochote kuhusu siasa za nchi hii ila siweziOoooohh kumbe... Sifatilii sana habari za hii nchi, nchi ina vituko sana hii ukitaka kufatilia kila kitu utapasuka kichwa bure..
Tangia ile siku nimekiwashia moto naona kametokomea sana.. Yule bwana nae kaamua kurudi siasani tu..Teh, yule bwana yuko kimya hadi nimemiss sasa.
Nakionaga kile Ki-minion chake kipo kipo tu.
ππππ
Karibu sana mkuu. Mie naish arusha ukifika unijulisheHeri wenzangu na mimi!
Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji
Hivi mkuu pande za Kiserian viwanja vinauzwaje..?Teh mwanaume wa kiseriani. Unakujua
Kusikia si shida, ila kufatilia sana ndio shidaDah mwenyewe,natamani nisisikie chochote kuhusu siasa za nchi hii ila siwezi
Tangia ile siku nimekiwashia moto naona kametokomea sana.. Yule bwana nae kaamua kurudi siasani tu..
Those Days Bruv... Sikuhizi Chit Chat na MMU wamebaki kutongozana tuπππ
ona sasa jukwaa limepoa sasa!
Those Days Bruv... Sikuhizi Chit Chat na MMU wamebaki kutongozana tu
hahahahahahahaaa.. Mimi kuna mmoja ni mbaya wangu humu lakini lazima nitafute fake ID nimwingie. Na wallah atanasa tuHehehehe,
Tuache tutongoze dunia yenyewe inaenda ukingoni hii.
πππππ
Jirani unaonekana kama MWANAUME WA DAR? pole aiseeTeh mwanaume wa kiseriani. Unakujua