Nilijua mngoni maana [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Yeah...ulijua wa wap
Unaingia lini mimi nipo siku zote ila ujitegemee
karibu arusha Kaka, Unakuja tokea kigali nikuagize pilipili?
Karibu Arusha mkuu. ..
Ni nyumbani sema nimetoka....
Una sifa zipi nikutafutie mwenyeji fasta.
karibu arusha Kaka, Unakuja tokea kigali nikuagize pilipili?
Haha...shindwa na ulegeeNilijua mngoni maana [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Jirani, udar wangu upo wapi....Jirani unaonekana kama MWANAUME WA DAR? pole aisee
Unataka kuishi kenya mkuu! !Hivi mkuu pande za Kiserian viwanja vinauzwaje..?
Huyu sio mara ya kwanza, aliwahi kusema mwaka jana, labda anakja kwa mguuQuigley unahitajika uku
Maasai one weweTeh mwanaume wa kiseriani. Unakujua
[emoji23][emoji23]Huyu sio mara ya kwanza, aliwahi kusema mwaka jana, labda anakja kwa mguu
Jirani, udar wangu upo wapi....
Hawa watoto si wanajua Tanzania ni Dar wakati wanasahau Arusha ni afrika mashariki, ,,Naona wanakulazimishia kukuona DAR
Eeh mkuu.Maasai one wewe
Kiseriani nakupata sana, ni eneo linalokuja juu kwa kasi ya ajabu, 5yrs to come utakuwa mji mzuri sana.Eeh mkuu.
Kisu mambo!Karibu chuga mkuu,je wewe ni ke?
Sure...kwenye miaka ya 2005 na 6 palikuwq hapataminiki... umezunguka mkuuKiseriani nakupata sana, ni eneo linalokuja juu kwa kasi ya ajabu, 5yrs to come utakuwa mji mzuri sana.
Mkuu tz yote iko kiganjani, mie mpambanaji, napaswa kukimbia wakati wengine wanatembea, nina muda mfupi Arusha but naipata kona tu kona. Kiseriani naipata sana, hata jana nimepita pande hizo, na Laiza waipata au!!!Sure...kwenye miaka ya 2005 na 6 palikuwq hapataminiki... umezunguka mkuu
Arusha karibia naijua kona zote...Mkuu tz yote iko kiganjani, mie mpambanaji, napaswa kukimbia wakati wengine wanatembea, nina muda mfupi Arusha but naipata kona tu kona. Kiseriani naipata sana, hata jana nimepita pande hizo, na Laiza waipata au!!!