Natafuta mwenyeji Arusha

Arusha karibia naijua kona zote...


Sizungumzii kiseriani ya Arusha mkuu. Nilikuwa Naongelea Kiserian Kenya. Ukitoka mbakase kabla hajafika Nai kuna mji unaitwa kiseriani au ukiwa unatokea magari kabla ya kufika Nai
Sasa hujaweka wazi mkuu
 
Mkuu tz yote iko kiganjani, mie mpambanaji, napaswa kukimbia wakati wengine wanatembea, nina muda mfupi Arusha but naipata kona tu kona. Kiseriani naipata sana, hata jana nimepita pande hizo, na Laiza waipata au!!!

Endulen... Malambo huko unapajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…