Nikufuate wapi nikuonyeshe vitendo DivaNataka vitendo zaidi you know ili nijionee ctaki kusimuliwa mie
[emoji23][emoji23][emoji23]now ipo 1k haha..mm nilitaka nichungulie tu kirungu acha husna aendelee atalia sana si kwa thread ile
Diva umekubalika kwetu ni wewe tuanakufaa kaka
Kulee sehemuNikufuate wapi nikuonyeshe vitendo Diva
Kivipi DivaHivi ni kweli Arusha kuna wapiga roba za aina tofauti tofauti, maana story nilizopewa zinatisha na kuniogopesha
imeshafika 1k thread nzima Daby tu ila usituangushe tunafanya kazi kubwa husna kasema week end hii mnaonana kupeana mautamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]now ipo 1k haha..
Hawatanitimua kweli huko kwenu lakini?Diva umekubalika kwetu ni wewe tu
Hivi huyu anayekutishiaga kuachika ni nani. Mwambie tunasubiri udondoke tukuokote kabla hujatua chinibas sitaki tena kuchungulia kirungu nisije nikaachika bure hapa
Eti wakabaji wa hadharani mchana kweupeKivipi Diva
Nimeshakutoa woga bhana... karibu chuga tukupeleke ngorongoro ukamwone faru John na mashemeji zakeEti wakabaji wa hadharani mchana kweupe
Mini sioi mke wa ukoo ujue, hakuna atakayeinua mdomo wala mkono juu yakoHawatanitimua kweli huko kwenu lakini?
yupo baby wangu n mtata acha tuHivi huyu anayekutishiaga kuachika ni nani. Mwambie tunasubiri udondoke tukuokote kabla hujatua chini
hahahhh utachapa kama nani
Wakiniona tu lazima waanze chokochoko hapo hutakiwa na jinsiMini sioi mke wa ukoo ujue, hakuna atakayeinua mdomo wala mkono juu yako
Man ndingohahahhh utachapa kama nani
Kama ni yule anatatulika tu.yupo baby wangu n mtata acha tu
Siku nikipata chance nitaenda ngorongoro conservation areaNimeshakutoa woga bhana... karibu chuga tukupeleke ngorongoro ukamwone faru John na mashemeji zake
hahahhhhhMan ndingo