Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika mini mkuu? maana huyu member mwenzetu ni mkongwe humu,tangu 2015Ukaamua uje kwa I'D usiyotumia mara kwa mara
Message 88 kwa miaka 5???Umeandika mini mkuu? maana huyu member mwenzetu ni mkongwe humu,tangu 2015
Kwani hakiwezekani?????Message 88 kwa miaka 5???
Inawezekana Ila ukiwa na I'D mbiliKwani hakiwezekani?????
[emoji106][emoji106][emoji106]Inawezekana Ila ukiwa na I'D mbili
Jf kuko na ujinga mob sana..List itakayokuja inbox utusaidie kuwaweka hapa ili dada zetu wajiepushe nao
Acha kuangalia posts ,angalia joining dateMessage 88 kwa miaka 5???
Ila si maarufu ndicho alichomaanisha.Umeandika mini mkuu? maana huyu member mwenzetu ni mkongwe humu,tangu 2015
😂 😂 😂 😂Ukaamua uje kwa I'D usiyotumia mara kwa mara
Maana yangu ni kwamba ana 🆔 nyingine anayoitumia mara kwa mara Ila hii anaitumia kwa vitu ambavyo ni -Acha kuangalia posts ,angalia joining dateView attachment 1724710