Natafuta mwenza, HIV + male aged 40-47 yrs

kama wow yaan tako lipo zuri zuri eti wamesema amna shida kabisa hiv+ ni mafua tu.
 
Mimi kwa sasa niko negative lakini ukinikubalia haina shida nachoangalia mimi ni uwe unanipa mzigo kwa wakati mengine tutajua mbele ya safari niko tayari 100%

😂 😂 😂
 
Mkuu sidhani kama ni sahihi kuweka majibu yako kwenye uzi wa namna hii, somehow it might be a torture kwa mwandika uzi. In a polite way, no hard feelings
Maelezo kidogo maana sijaona ubaya wake
 
Kumbuka huu ni uzi wa muathirika akiwa anatafuta mwenza ndo lengo lake, ukija wewe ukapost majibu yako kwamba wewe ni negative ktk uzi wa namna hii, kwa namna fulani ni psychologist torture. Unafikiri muathirika yeye anajisikiaje ndugu yangu ? Ni kama unatamba kwamba wewe hauna tatizo lake lililomfanya afungue uzi... anyway, kama bado hujaona shida mkuu
Shida nimeiona tayari nina imani Slim5 atafuta comment yake
 
Kumbuka huu ni uzi wa muathirika akiwa anatafuta mwenza ndo lengo lake, ukija wewe ukapost majibu yako kwamba wewe ni negative ktk uzi wa namna hii, kwa namna fulani ni psychologist torture. Unafikiri muathirika yeye anajisikiaje ndugu yangu ? Ni kama unatamba kwamba wewe hauna tatizo lake lililomfanya afungue uzi... anyway, kama bado hujaona shida mkuu
Ngoja aupate ndio atakuelewa unamaanisha nini, watu hawajui km leo co jana, mzima wa leo ndio mgonjwa wa kesho, unadhani hayo majibu yako ya -ve yataendelea kubaki hivyo daima? Au anadhani ni yeye pekee ndiye aliyewahi kupima na kujikuta-ve, ni utoto ulioje aisee.

Alafu huu ugonjwa kwa ss ni wa kawaida sn na una dawa, yapo magonjwa ambayo ni hatari zaidi ya huu.
 
Mkuu sidhani kama ni sahihi kuweka majibu yako kwenye uzi wa namna hii, somehow it might be a torture kwa mwandika uzi. In a polite way, no hard feelings
Ameshaufuta sasa na wewe yakubidi ufute ulipomquote
 
Ngoja aupate ndio atakuelewa unamaanisha nini, watu hawajui km leo co jana, mzima wa leo ndio mgonjwa wa kesho, unadhani hayo majibu yako ya -ve yataendelea kubaki hivyo daima? Au anadhani ni yeye pekee ndiye aliyewahi kupima na kujikuta-ve, ni utoto ulioje aisee.

Alafu huu ugonjwa kwa ss ni wa kawaida sn na una dawa, yapo magonjwa ambayo ni hatari zaidi ya huu.
Ameshafuta amani itawale
 
Back
Top Bottom