Upweke ndio chanzo kikubwa cha vifo hasa kwa watu kama Sisi wenye vvu..jaman nataka mpka kukata tamaa ni wapi nitampata a mature and normal man mwenye hali kama yangu..tulisukume gurudumu la maisha pamoja??
 
Pole sana dear. Endelea kutafuta utampata wa kufananae kuna dada kule Instagram ana hali kama yako ni maarufu kimtindo kwani amejitangaza kuwa na hiyo hali.

Huwa anafanya kazi ya kuwakutanisha kwenye mapenzi watu wenye vvu pia anatoa na elimu.
 
Username yake instargram mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…