Natafuta mwenza HIV+
Kupitia uzo huu nimegundua Unyanyapaa bado upo mkubwa sNa katika jamii😁
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina umri wa miaka 31, najishughulisha na biashara ndogondogo, nipo Dar es Salaam, nimekuja kwenu natafuta mwenza kwa mara nyingine.

Jaman hakuna kitu kigumu kama upweke, naamini kati yenu yupo mmja ambaye atakuwa tayari tulisukume gurudumu la maisha pamoja.
 
Nakuombea upate huyo mwenza,cha muhimu kuwa makini usiambukize wengine.
 
Habari wana jamii forum,mm ni mama wa mtoto mmja nina umri wa miaka 31 najishughulisha na biashara ndogondogo nipo dar es salaam ..nimekuja kwenu natafuta mwenza kwa mara nyingine. jaman hakuna kitu kigumu kama upweke,naamini kati yenu yupo mmja ambaye atakuwa tayari tulisukume gurudumu la maisha pamoja...
Hiv+ sio tishio sana na sio hatare kiasi hicho mpaka ulitangaze ata asio kua naye anaweza kuja ila mkaishi kwa tahadhari, kutaja hiv ni unyanyapa,........wewe taja sifa zingine za kuvutia kuliko hilo la hiv, baba mtoto iko wapi wewe unakipato au la unanyumba au unapanga au uko kwa wazazi.
 
Pole Sana binti kwa upweke

By the way, nenda wanapotoa arv, utapata mlengwa wako. Cha msingi jinsia ya kiume
 
Nitafanya maombi maalum kwaajili yako,Mungu akufanyie wepesi!
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina umri wa miaka 31, najishughulisha na biashara ndogondogo, nipo Dar es Salaam, nimekuja kwenu natafuta mwenza kwa mara nyingine.

Jaman hakuna kitu kigumu kama upweke, naamini kati yenu yupo mmja ambaye atakuwa tayari tulisukume gurudumu la maisha pamoja.
Unaweza pia ukaenda instagram kuna dada maarufu nae ni HIV+ anaitwa Doreen Odemba.Huwa anakutanisha watu wenye hali kama yako na ushauri pia anatoa.
Anaweza kukusaidia pia ukapata mwenza fasta mwenye hali kama yakwako.
 
Ukiwa na HIV ndio utafute bwana +ve?
Umesoma shule gani?
Sasa wewe uliyesoma inayoeleweka,si hiari yake kumchagua anaemtaka? Unamuwekea masharti na vigezo kama nani? Naona badae utamuuliza kwa nini hajamtafuta wa jinsia yake sasa.
 
daah wanawake bana wakiwa kwenye ubora wao unakuta full mlima wa vigezo ngoja wazalishwe wachuje kwanza au kupata changamoto kama hivi apo atatafutwa mkaka au mbaba yoyote wa karibu almradi anahema
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina umri wa miaka 31, najishughulisha na biashara ndogondogo, nipo Dar es Salaam, nimekuja kwenu natafuta mwenza kwa mara nyingine.

Jaman hakuna kitu kigumu kama upweke, naamini kati yenu yupo mmja ambaye atakuwa tayari tulisukume gurudumu la maisha pamoja.
Pole sana
 
Back
Top Bottom