Natafuta mwenza/mke mwenye miaka kuanzia 30-45

Kuna sababu gani zimekufanya ukaachana na hao wawili
 
Eleza kilichopelekea ukaachana na hao wawili
 
[emoji2] [emoji28]

Kwani kuficha vyeti kutasaidia basi, atagundua utapokuwa unatoa points ukiongea.
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.
 
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.

[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Huyu Boss anaonekana so boring, yaani hataki watu waongee kazi gani hii sasa..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umetishaaa awe na churaa
 
kumbe

msukuma .....mh ndo maana umeshindwa ndoa mbili. Unapenda kunyanyasa. kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…