kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shikamooni wasukuma
kweli mkuu maan vigezo kama anatangaza kazi😀😀😀😀😀
shikamooni wasukuma
Naomba unifichie vyeti niwahi fursa.
Naomba unifichie vyeti niwahi fursa.
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.[emoji2] [emoji28]
Kwani kuficha vyeti kutasaidia basi, atagundua utapokuwa unatoa points ukiongea.
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.
Wasukuma mna balaa!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu Boss anaonekana so boring, yaani hataki watu waongee kazi gani hii sasa..
[emoji121] mimi hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 471859
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.
Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.
Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.
Kama uko tayari nicheki kwa PM