Natafuta mwenza (mke)

Natafuta mwenza (mke)

Confundido

Member
Joined
Mar 17, 2021
Posts
44
Reaction score
136
Habari,

Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani.

Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam.

Natafuta mwanamke miaka 28 hadi 32 awe mkristo, pia awe mpambanaji ili tushirikiane kwenye maisha.

Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
 
Watu kusoma shemegi ni mmachinga, wanajifanya hawamuoni.

Uko wapi.....
 
Back
Top Bottom