Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha

Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Wewe endelea na hizo sifa zaki tena subiri uwafanyie interview kabisa
1. Ndoa ni kitu ambacho ni social kinaletwa na mahusiano ,ambayo ni sehemu ya mwili(ubavu) uliopotea sasa unautafuta

2. Kuweka sifa za kielimu, dini, nk maana yake unataka kulazimisha ubavu ambao sii wako na haukupangiwa na Mungu (Mungu hana dini)

3. Hizo sifa ulizoweka kama za ajira maana yake zikipungua au zikiisha ndoa haipo, kama ajira akifukuzwa kazi unamtema, kama akibadili dini au wewe ukibadili unamtema,
 
Dah....bado nasisitiza Dada zangu...nguvu za misuli kwa mwanaume ni muhimu kuliko vyote hivyo....bila hii kitu...mahusiano huwaga useless [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Binafsi natafuta mwenza, umri 24 - 26 bahati mbaya!! Daah!!
 
Haya Sasa. Wale ma bachula tushindwe Sasa. Maana vigezo ni rafiki kabisa
 
Back
Top Bottom