Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Dada bonge unateseka ukiwa wapi
 
[emoji848][emoji848]
1611665935456.png
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Dah kidogo tuu but Mimi nataka mwenye watoto angalau wawili... But usijali utapata Tuu Mungu ni Mwema
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Good
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Umri nipo hapo hapo ila kwenye dini nshakosa mwenzangu nikutakie kila la kheir
 
Huku online unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia bora uweke bango kama waganga wakienyeji maana uwakika wa kukuona upo lol
 
Yes lakini hili nataka nijuwe kabla sijamjua yeye! Unakuta mtu kachukuwa 100%, bum liliishia kununua vizawadi vya basidei na mitoko na mabebi wake mie sikuambulia hata senti.... leo kwenye malipo naonekana ni mtuhumiwa namba moja..... khaaaa yataka moyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom