Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Angalia ucje kuchukua maamuzi ya kujinyonga au kuua ati! Maana unaonekana we ni mtu wa maamuzi ati 🙂! Natangu umepost unatafuta mchumba humu ndani bado hujampata kweli 🙂?!
Siwezi jiua bwana...wapi nimeandika natafuta mpenzi?
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Mama watoto unaniabisha njoo mke wangu tulee watoto sikupigi tena
Miaka 32 its too late already....tafuta yeyote anayepumua tu......soon utaingia 35 - 40 ambayo ni danger zone
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
32 co mchezo mtoto wa kike anakua katumika vya kutosha co mbaya utapata mzee mwenzako 《MUHUNI)
 
Sema nn cate, perhaps usingeweka digrii yako na umri wako hapo maana kuna watu umewapunguza tayari. Wewe sema tu unatafuta mchumba, utakutana nae ataona uzuri wako tabia nk, hata kama hakutaka mke mwenye digrii na miaka 32 basi atashawishika
 
Kuna jambo muhimu hujaliweka.
Rangi
Kimo
Size or type of papuchi
Aina ya kazi
Kabila
Location
 
Back
Top Bottom