William samson
New Member
- Feb 4, 2021
- 3
- 1
Contact zako plzNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Naogopa😜How come watu wanabisha hodi ufungui 🙂?!
Sasa Mr right utampataje kama unaogopa jamani lolNaogopa😜
Waoh am hereNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
😀😀😀😀😀 Eti Mr Right lohSasa Mr right utampataje kama unaogopa jamani lol
Hehe kwani Mr right humu ndani hawapatikani?!😀😀😀😀😀 Eti Mr Right loh
Humu sidhani 😀😀Hehe kwani Mr right humu ndani hawapatikani?!
Mbona wahofia sana humu ndani au umesha nusa harufu ya ulaghai 🙂?!Humu sidhani 😀😀
,🤣🤣🤣🤣EmbuuuuMbona wahofia sana humu ndani au umesha nusa harufu ya ulaghai 🙂?!
Hahaha,🤣🤣🤣🤣Embuuuu
KaribuKila la kheri.
Mrejesho muhimu ili nami nilete tangazo langu
AhsanteKaribu
Hey Cylia upo sehemu gani kwenye hii nchi?!Ahsante
Nipo dar...sehemu moja yaitwa madongo poromokaHey Cylia upo sehemu gani kwenye hii nchi?!
Du kweli dar kubwa 🙂 karibu kunduchi, bahari beachNipo dar...sehemu moja yaitwa madongo poromoka
Ahsante Sana nawe karibu madongo poromoka.Du kweli dar kubwa 🙂 karibu kunduchi, bahari beach
Mkuu unaifahamu sehemu moja maarufu kwa kitimoto inayoitwa rudisfarm hapo Kunduchi?Du kweli dar kubwa 🙂 karibu kunduchi, bahari beach